Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefika katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Kivukoni kuangalia jinsi shughuli za usafirishaji zinavyoendelea baada ya kuingizwa kwa mabasi mapya katika ruti za Kimara kuelekea Gerezani, Kivukoni na Morocco.
Akiwa kituoni hapo, Majaliwa ameelezea mipango ya serikali ya kuboresha usafiri huo na kueleza kuwa mabasi mapya yaliyoingia barabarani leo pamoja na mengine mapya yanayokuja, yatakuwa yakitumia gesi na umeme.
Related