Rais Samia Avunja Bodi Ya DART na UDART, Ateua Wenyeviti Wapya – Global Publishers



Rais Samia Suluhu Hassan amevunja bodi za Wakala na Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka na kuteua wenyeviti wapya bodi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiingozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, walioteuliwa ni kama ifuatavyo: