BARANI Ulaya, joto la soka limepanda na leo mashabiki wanatarajia burudani ya kipekee kutoka kwa ligi tano maarufu. Mechi zenye mvuto mkubwa zinachezwa leo, na kwa wapenzi wa kubashiri, Meridianbet imeandaa odds kabambe zinazoweza kukuongezea kipato.
Ndani ya England Premier League, AFC Bournemouth wanawakaribisha Fulham kwenye dimba la Vitality Stadium. Bournemouth, walioko nafasi ya sita, wanatafuta pointi muhimu dhidi ya Fulham waliopoteza mechi yao ya mwisho dhidi ya Aston Villa. Mechi hii ni ya ushindani mkubwa na odds zake si za kawaida.
Kunako La Liga, Osasuna walio nafasi ya 13 wanachuana na Getafe walio nafasi ya nane katika pambano la kusisimua. Timu zote zinapigania nafasi za juu kwenye msimamo wa ligi, na mashabiki wanatarajia mbinu kali na ushindani wa hali ya juu kutoka kwa vikosi hivi vya viwango vya kati.
Meridianbet haikuachi nyuma. Mbali na mechi hizi, kuna michezo ya kasino mtandaoni na mechi nyingine mbalimbali zenye odds kabambe kila siku. Jiunge kwa urahisi kupitia meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Ligi kuu Ujerumani, Bundesliga, inaendelea leo na Hoffenheim wanacheza nyumbani dhidi ya FC Cologne. Baada ya matokeo yasiyoridhisha kwenye mechi mbili zilizopita, Hoffenheim wanahitaji ushindi ili kurejesha morali. Cologne nao wanawania kupanda hadi nafasi ya nne, hivyo presha ni kubwa kwa pande zote.
Kwa upande wa Serie A, Italia, Stadio M. A. Bentegodi linakuwa jukwaa la Hellas Verona dhidi ya Sassuolo. Verona bado hawajapata ushindi msimu huu, huku Sassuolo wakijivunia ushindi wa mechi mbili. Mechi hii ni fursa kwa wabashiri kusuka jamvi la uwakika wa ushindi.
Vilevile, Ligue 1 haijaachwa nyuma kwenye burudani ya leo. Paris FC waliopanda daraja msimu huu wanakutana na Lorient. Timu zote zina alama saba, na ushindi wa leo utawapa nafasi nzuri washindi kwenye msimamo wa ligi. Ni mechi ya kuwekea pesa kwani mpira mwingi utapigwa hapa.
Leo ni siku ya burudani na ushindi. Kwa mashabiki wa soka na wabashiri, Meridianbet iko tayari kukupeleka kwenye safari ya ushindi.