Matukio hafla ya kuhitimu darasa la saba shule ya Msingi Rosalia Kinyerezi Dar

Wanafunzi wa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St.Rosalia iliyopo Kinyerezi Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam wakifanya maonyesho ya sarakasi jana wakati wa mahafali ya darasa la saba shuleni hapo jumla ya wanafunzi 55 walihitimu.

Wanafunzi wa Wanafunzi wa Shule ya msingi ya St.Rosalia iliyopo Kinyerezi Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam wakionyesha umahiri wao wa mchezo wa judo wakati wa mahafali ya darasa la saba shuleni hapo jumla ya wanafunzi 55 walihitimu.

Wanafunzi wa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St.Rosalia iliyopo Kinyerezi Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam wakionyesha umahiri wa kucheza muziki wakati wa wakati wa mahafali ya darasa la saba shuleni hapo jumla ya wanafunzi 55 walihitimu.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St.Rosalia iliyopo Kinyerezi wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam wakionyesha ubunifu wa jiko walilolitengeneza linalotumia mionzi ya jua jana wakati wa mahafali ya Darasa la saba shuleni hapo, jiko hilo linaweza kuchesha maji mpaka yakachemka.