Nani Ataibuka Bingwa wa EPL Msimu Huu, Meridianbet Ipo Na Wewe


PESA nje nje ndani ya Meridianbet. Msimu wa Ligi Kuu ya England unazidi kuchanja mbuga, na Meridianbet imetandika jamvi la ushindi kwa wale wanaojua kubashiri kwa akili. Odds za kuvutia zimewekwa kwa timu zinazopigiwa chapuo kutwaa ubingwa. Ni wakati wako kuchagua upande wa ushindi kabla ya msimu kufunga pazia
Arsenal wamerudi kwa kasi. Baada ya kumaliza nafasi ya pili msimu uliopita, vijana wa Mikel Arteta wameanza msimu kwa moto wa kuotea mbali. Ushindi mara nne, sare moja, na kipigo kimoja tu. Magoli 12 yamefungwa, matatu tu kuruhusiwa. Meridianbet wametupia Odd ya 2.20 kwa Arsenal kutwaa ubingwa. Mashabiki wa The Gunners, huu ni wakati wa kuamini.
Liverpool, bingwa mtetezi, yupo kileleni kwa sasa baada ya kushinda mechi tano na kupoteza moja pekee. Ingawa hawajawekwa nafasi ya kwanza na Meridianbet, bado wamepewa Odd ya 2.75, ishara ya imani kwa uwezo wao wa kuutetea taji. Kama unaamini katika nguvu ya Anfield, ingia meridianbet na ubashiri sasa.
Meridianbet haiishii hapa, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari yako ya ushindi.
Manchester City hawajaanza kwa kasi yao iliyozoeleka. Vipigo viwili na sare moja vimewaweka nafasi ya saba. Lakini historia yao ya kutwaa ubingwa mara tatu mfululizo kabla ya kupokonywa na Liverpool bado inawapa heshima. Meridianbet wamewapa Odd ya 6.05. Hii ni Odd kubwa inayoweza kukupa faida nono endapo Pep Guardiola atarudisha makali yake.
Chelsea wameingia msimu huu wakiwa na medali za kimataifa, mabingwa wa Kombe la Dunia la Vilabu na UEFA Conference League. Licha ya kuwa nafasi ya nane kwa sasa, Meridianbet wamewapa Odd ya 35. Kwa mashabiki wa The Blues, hii ni nafasi ya kubashiri kwa ujasiri na kuvuna mkwanja wa maana.
Tottenham Hotspurs, mabingwa wapya wa UEFA Europa League, wameanza msimu kwa ushindi wa mechi tatu, sare mbili na kipigo kimoja. Ushindi wao dhidi ya Man City umeongeza matumaini, ingawa nafasi yao ya ubingwa si kubwa sana. Meridianbet wamewapa Odd ya 52. Kwa wanaoamini kwenye maajabu ya Spurs, hii ni fursa ya utajiri.
Usikose nafasi hii ya kubashiri kwa akili na kumaliza msimu na ushindi wa maana. Odds zipo, timu zipo, ni wewe tu kuchagua upande wa historia