Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia 2026 Kukupa Pesa Meridianbet

NI kama fainali kabla ya fainali. Afrika imetingwa na joto la mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026, huku kila taifa likipigana kufa na kupona kutinga Marekani, Kanada na Mexico. Leo ni siku ya mikikimikiki, na kwa mashabiki wa Meridianbet, ni wakati wa kuchora mikeka ya ushindi na kufuatilia kila dakika kwa jicho yakinifu.
Kuanza na Kundi A, Ethiopia na Guinea-Bissau watazitesa nyasi saa 10 jioni kwenye mtanange wa nguvu. Meridianbet imeweka odds za kuvutia, na mashabiki wana nafasi ya kuchagua kwa ujasiri. Saa 1 usiku, Djibouti wanakutana na miamba wa Afrika, Misri. Hii ni mechi ya historia na hadhi. Odds za Egypt ni tamu kutokana na ukubwa wao, lakini kwa wanaoamini katika miujiza ya soka, Djibouti wanaweza kupindua meza.
Sierra Leone dhidi ya Burkina Faso pia wanapambana usiku huu. Huu ni mtanange wa kuchambua kwa kina, na Meridianbet imeweka odds zinazolingana na rekodi za timu. Hii ni mechi ya mikeka ya kitaalamu.
Meridianbet haiishii hapa, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za vilabu za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari yako ya ushindi.
Kwingineko kwenye Kundi D, mapema saa 10 jioni, Eswatini wanachuana na Angola huku Libya wakikabiliana na Cape Verde. Saa 1 usiku, Mauritius wanapambana na Cameroon. Odds za Meridianbet zimepangwa kwa ustadi, Cameroon wakiwa na mastaa wa Ulaya, lakini Mauritius wanaweza kuandika hadithi ya kushtua.
Vilevile Kundi E halijaachwa nyuma. Tanzania wanashuka dimbani saa 4 usiku dhidi ya Zambia. Taifa Stars wanapewa nafasi ya kung’ara wakiwa na faida ya kuwa uwanja wa nyumbani, na odds za Meridianbet zinawapa mashabiki matumaini ya ushindi wa thamani. Niger na Congo pia wanacheza kwa wakati huo, na hii ni fursa kwa wanaopenda mikeka ya mechi nyingi.
Mwisho kabisa ni Kundi I ambapo saa 1 usiku, moto unawaka kati ya Ghana na Central African Republic, Mali dhidi ya Chad, na Comoros dhidi ya Madagascar. Odds za Meridianbet zimeweka uwiano mzuri kati ya timu hizi mbili. Hizi ni mechi za kuchanganya burudani na mikeka ya kimkakati.
Watumiaji wote wa Meridianbet, leo ni tamasha la soka na bashiri. Nafasi ya kutengeneza utajiri mpya kupitia mechi za leo ni mkubwa sana kupitia odds za kipekee zilizopo kwa kila chaguo.