Katibu
Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Peter Msoffe akizungumza katika
Mkutano wa Kimataifa kuhusu akili mnemba (AI) na Mabadiliko ya Tabianchi
uliomalizika Oktoba 9,2025 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mshauri
wa Rais wa katika masuala ya mazingira na Mwenyekiti wa Kundi la Afrika cha
Majadiliano (AGN), Dk. Richard Muyungi.
PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS