LEO ni siku ya kipekee kwa mashabiki wa soka. Timu kubwa kutoka Ulaya kama Ureno, Uhispania, Italia na zingine nyingi zinashuka dimbani kushiriki mechi muhimu za kufuzu Kombe la Dunia 2026. Hii ni nafasi yako ya kuchukua mpuga na Meridianbet ili ujipatie maokoto makubwa.
Bulgaria inakabiliwa na changamoto kubwa leo ikicheza dhidi ya Uturuki, ambao wako juu kwa tofauti ya pointi 3. Kwa kuwa hawajapata alama yoyote, Bulgaria inahitaji ushindi ili kudumisha ndoto yao ya kufuzu Kombe la Dunia. Meridianbet inakupa ODDS nzuri sana za mechi hii, chukua nafasi yako sasa na unda jamvi lako.
Uhispania inashuka uwanjani dhidi ya Georgia, tofauti yao ni pointi 3 pekee. Mechi tano za mwisho kati ya timu hizi zimeonyesha uhispania anaongoza, huku Georgia akimfuata nafasi ya pili. Ushindi leo ni muhimu kwa kila timu, na hii ndiyo nafasi yako ya kubashiri na kuweza kujipatia faida. ODDS zimewekwa kibabe, jisajili sasa.
Michezo ya kasino ya mtandaoni kama Poker, Keno, Roulette, Aviator na Superheli bado inakungoja. Ingia sasa na ongeza nafasi zako za kushinda. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Vijana wa Marco Rossi wanataka kurekebisha rekodi baada ya kupigwa na Ureno kwenye mechi ya awali. Leo, Hungary itakuwa mwenyeji wa Armenia, ambao wako nafasi ya pili kwenye kundi. Tofauti yao ni pointi 2 pekee, huku historia ikionyesha Hungary kushinda 2-0 mwaka 2004. Bashiri leo ushinde kibabe na meridianbet.
Ureno inakabiliana na Ireland kwenye mechi ya mtanange wa Kundi F. Ureno iko kileleni kwa tofauti ya pointi 5 huku Ireland ikiwa mkiani mwa kundi. Meridianbet inakupa ODDS kubwa kwa mwenyeji kushinda. Ni wewe uamuzi ni wako, je pesa yako unampa nani?
Norway, kinara wa ligi na pointi 15 baada ya kushinda michezo yote mitano, itakuwa mwenyeji wa Israel yenye pointi 9. Mechi ya mwisho kati ya timu hizi Norway ilishinda kwa nguvu. Jitayarishe kuchukua faida leo kwa ODDS zilizopo Meridianbet.
Estonia waliopo nafasi ya tano wanakutana na Italia walio nafasi ya pili leo. Timu hizi zimetofautiana pointi 6, na mechi ya mwisho Italia ilishinda mabao 5-0 ugenini. Leo hii, nani atatoka na ushindi? ODDS za Meridianbet ziko kwa ajili yako wewe.
Mechi ya Kundi F kati ya Serbia na Albania itakuwa yenye ushindani mkali. Tofauti ni alama moja tu. Albania ikiwa nafasi ya pili na alama 8, Serbia nafasi ya tatu na alama 7. Nani ataondoka na alama tatu? Hii ni nafasi yako ya kuchukua hatua na kushinda kwa ODDS za kibabe.