Wenje ahamia CCM, Samia ampokea

Geita. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria,, Ezekiah Wenje amekihama chama hicho na kuhamia  Chama cha Mapinduzi( CCM).

Wenje ambaye pia ni mbunge wa zamani wa Nyamagana kwa tiketi ya Chadema,amehama leo Jumatatu Oktoba 13,2025 mbele ya Rais na mgombea wa urais wa CCM,Samia Suluhu Hassan,katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Chato,mkoani Geita.

Wenje amepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM,Balozi Dk Asha-Rose Migiro.

Endelea kufuatilia Mwananchi.