Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliomba dua kwenye Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, katika eneo la Rubambangwe, Chato mkoani Geita, tarehe 13 Oktoba 2025.
🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.
Related