NI msimu wa mapambano makali ya kufuzu Kombe la Dunia 2026, na moto wake umeanza kuwaka barani Ulaya. Kila timu inapigania tiketi ya kwenda Marekani, Mexico na Kanada, na kama kawaida, Meridianbet wameweka kila kitu mezani kwa mashabiki wa soka na ubashiri. ODDS ni kubwa, machaguo ni mengi, na nafasi za ushindi ni halisi zaidi kuliko hapo awali.
Uwanja wa Estadio Jose Zorrilla unawaka moto. Hispania wanarudi dimbani wakiwa na morali ya juu, wakilenga kuendeleza ubabe wao wa Ulaya. Bulgaria kwa upande mwingine wanahitaji matokeo chanya ili kuokoa matumaini yao ya kufuzu. Historia inawaweka Hispania mbele na Meridianbet wameweka ODDS nono kwa pambano hili la kisasa. Je, unaweka bet upande gani?
Istanbul itakuwa jiji lisilolala. Uturuki wanapambana na Georgia katika mechi ya kuvutia. Georgia wameonyesha uimara katika mechi zao za karibuni, lakini nyumbani, Uturuki ni jeshi lisiloyumba. Burudani inatarajiwa kuwa kubwa si uwanjani tu kwani na Meridianbet wamepanga machaguo 1000+ kwa kila mpenda soka anayetaka kujaribu bahati yake.
Usibaki nyuma, ongeza kipato chako kupitia michezo ya kasino kama Poker, Keno, Roulette, Aviator, na Superheli. Bahati yako inaweza kukuletea mkwanja mrefu. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz kujumuika na ulimwengu wa ubashiri wenye ushindi kila dakika.
Ireland wakiwa mbele ya mashabiki wao, wanapigania alama tatu muhimu. Armenia wakiwa na vijana wachache wenye njaa ya mafanikio, wanaingia dimbani wakiwa hawana cha kupoteza. Hii ni mechi ya kufa mtu na ODDS za Meridianbet zinafanya kila sekunde iwe na thamani.
Mashabiki wote wanategemea kuona shoo kutoka kwa Cristiano Ronaldo na kikosi cha Ureno watakapovaana na Hungary. Hungary hawana hofu, lakini kwa kiwango cha sasa cha Ureno, ni kama kupambana na tsunami. Meridianbet wameweka ODDS tamu sana, chaguo lako linaweza kuwa tiketi ya ushindi mkubwa leo usiku.
Saa 19:00 dimba la A Le Coq Arena litakuwa jukwaa la mapambano ya heshima. Estonia wanataka kujilinda nyumbani, lakini Moldova hawajaja kusindikiza. Ni mechi yenye matokeo yasiyotabirika, na kwa Meridianbet, hiyo ndiyo nafasi ya kuchukua ushindi mkubwa zaidi.
Mabingwa wa zamani wa Ulaya, Italia, wanataka kurejesha heshima yao mbele ya Israel ambao wameonyesha matokeo mazuri msimu huu. Hii ni mechi ya hadhi, historia, na heshima. Mashabiki wa Meridianbet watakuwa na nafasi ya kupiga hela kubwa kupitia ODDS zilizoandaliwa kwa ubora wa kipekee.
England wanatua Latvia wakiwa na dhamira moja tu, kushinda na kuhakikisha wanaendelea kuongoza kundi. Latvia wanaamini wanaweza kushangaza dunia, lakini ubora wa England haupingiki. Meridianbet wana machaguo mengi na ODDS kubwa kwenye mchezo huu.