BETI mechi za ligi Jumatatu ya leo ujiweke kwenye nafasi ya kujishindia mkwanja mrefu mfululizo leo. Baada ya Wikendi kumalizika na wewe ukiwa hukupata pesa basi leo ndio siku yako. Unangoja nini sasa?. Tandika jamvi lako hapa.
Tukianza na ligi kuu ya Uingereza, EPL kuna mechi moja kali kabisa kati ya West Ham United dhidi ya Brentford ambapo mara ya mwisho kukutana, Nyuki waliondoka na ushindi. Je leo hii Wagonga Nyundo wa London wanaweza kulipa kisasi?. Meridianbet inatoa ODDS KUBWA kwenye mechi hii. Bashiri sasa.
Kule Hispania LALIGA nayo kama kawaida kutakuwa na mbungi moja kati ya Deportivo Alaves dhidi ya Valencia ambao mechi iliyopita walipoteza huku wenyeji wao wakishinda. Zinakutana timu ambazo kila moja inahitaji ushindi ili kuepuka presha ligi ikikaribia kuisha. Ongezea mechi hii kwenye jamvi lako ambalo utatengeneza sasa. Jisajili hapa.
Meridianbet inakwambia kuwa leo hii unaweza ukatusua kwa kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
SERIE A kule Italia kuna mechi ya kukata na shoka ambayo itapigwa kati ya Cremonese dhidi ya Udinese Calcio huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 1 pekee. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa msimu juzi ambapo mwenyeji alipoteza vibaya sana, hivyo leo hii anataka kulipa kisasi. Bashiri na Meridianbet sasa.
Ligi nyingine ambayo itaendelea ni hii ya Uturuki, yaani SUPER LIG kati ya Eyupspor dhidi ya Kasimpasa ambao kwenye mechi 8 amefanikiwa kukusanya pointi 9, huku kwa mwenyeji yeye kwenye mechi 8 amekusanya pointi 5 pekee. Unaweza ukakusanya mpunga kwenye mtanange huu wa leo na Meridianbet. Tandika jamvi hapa.
LALIGA 2 pia kuna mechi moja ya kusukia jamvi kati ya Cardiz dhidi ya Bugos CF ambao wapo nafasi ya 9 baada ya kukusanya pointi 12, huku mwenyeji wake akiwa ndiye kinara wa ligi baada ya kujipatia pointi zake 18. Mechi mbili za mwisho kukutna hawa wawili walitoka sare. Je leo hii nani kukupatia mzigo wa maana?. Suka jamvi hapa.