MichezoMtoto wa Mjini – 10 Admin2 months ago01 mins 19 Linnie aliendelea kumdodosa kuhusu safari yake na maisha yake ya Tanzania naye alijitahidi kumuelezea kila kitu kuhusu maisha yake. Mwanamke huyo wa Kizungu alijikuta akivutiwa na maelezo yake na aligundua Muddy hakuwa mtu mbaya. Post navigation Previous: Mkude: Kifo cha Modest kimenifunza kumjali mtu akiwa haiNext: Uamuzi mbovu Ligi ya Zanzibar chanzo ni pesa