Meridianbet Kukupa Samsung A26 Ukicheza Super Heli – Global Publishers


Rubani wa bahati yako sasa ni wewe mwenyewe. Meridianbet imeleta kampeni mpya yenye moto kuliko moto wenyewe kupitia mchezo wa kasino mtandaoni unaopendwa na wengi, Super Heli kutoka Expanse Studios. Kupitia kampeni hii, wachezaji wa Super Heli wana nafasi ya kujishindia simu janja mpya ya Samsung A26, bure kabisa, hakuna gharama za ziada wala masharti magumu.

Katika kipindi chote cha mwezi Oktoba, Meridianbet itakuwa inatoa simu nane (8) mpya za Samsung A26. Kila wiki, wachezaji wawili wanaoongoza kwa kucheza mara kwa mara mchezo wa Super Heli watatangazwa washindi na watapokea simu zao mpya kila Jumatatu.

Mchezo wa Super Heli ni rahisi lakini wa kusisimua. Unachotakiwa kufanya ni kupaisha helikopta yako kadri inavyoweza kupaa. Kadri inavyopanda juu zaidi, ndivyo odds zako na ushindi wako unavyoongezeka.

Mbali na Super Heli, pia meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Lakini tahadhari, helikopta ikilipuka kabla ya kutoa dau lako, unakosa ushindi. Hivyo, toa dau lako kwa wakati, changanya ujuzi, bahati na hisia zako kisha furahia faida inayokuja kwenye akaunti yako papo hapo.

Jinsi ya kujishindia simu hii ni rahisi sana. Tembelea tovuti rasmi www.meridianbet.co.tz au pakua Meridianbet App. Ingia kwenye akaunti yako au jisajili bila malipo kama bado hujafungua akaunti, weka dau lako kisha cheza Super Heli mara kwa mara kwa dau lolote.

Subiri Jumatatu, inaweza kuwa siku yako ya bahati ya kujinyakulia Samsung A26 mpya kabisa. Usikubali nafasi hii ikupite. Jiunge na maelfu ya wachezaji wanaopaa na Super Heli na shuhudia ushindi halisi ukitua mikononi mwako