Katika ulimwengu wa promosheni na ofa nyingi, ni nadra kukutana na kitu kinachobadilisha kabisa namna unavyoona michezo ya kasino. Sasa Meridianbet wameleta kitu kipya chenye msisimko, furaha, na faida halisi, ni Lucky Friday. Kama jina linavyosema, hii ni Ijumaa ya bahati, siku maalum ya kugeuza michezo yako ya kawaida kuwa fursa ya kupata ushindi wa kipekee.
Lucky Friday ni promosheni ya kipekee inayowapa mashabiki wa michezo ya namba, hasa michezo ya Lucky 6 na Keno, nafasi ya kurejeshewa asilimia 10 ya hasara wanazopata kila Ijumaa. Ndiyo, kila Jumamosi kabla ya saa 5:00 asubuhi, Meridianbet watakuwa wanakurudishia pesa taslimu moja kwa moja kwenye akaunti yako. Ni zawadi ya pili baada ya mchezo, inayokufanya kuingia wikendi ukiwa na furaha badala ya majuto.
Kushiriki kwenye ofa hii ni rahisi sana. Unachotakiwa kufanya ni kufungua akaunti yako kupitia tovuti ya meridianbet.co.tz au kupitia app ya Meridianbet, kisha ucheze mchezo wa Lucky 6 au Keno. Dau lako lazima liwe angalau TZS 500, na baada ya hapo, kazi ni moja tu, kusubiri Jumamosi. Kabla hata hujanywa kikombe cha chai asubuhi, bonasi yako ya 10% itakuwa imeingia kwenye akaunti yako.
Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Kiasi cha juu unachoweza kurejeshewa kwa wiki ni TZS 25,000, pesa ya kutosha kukurudisha kwenye uwanja wa mchezo ukiwa na morali mpya na matumaini mapya. Kwa lugha nyepesi, hata kama bahati haikukutokea Ijumaa, bado Jumamosi inakuja na tabasamu lako mkononi.
Zaidi ya kuwa tu ofa ya kurudisha hasara, Lucky Friday ni njia ya kusherehekea mwisho wa wiki kwa mtindo wa kipekee. Inakufundisha kuwa kushindwa si mwisho wa safari, bali ni nafasi ya kuanza upya ukiwa na nguvu mpya.
Bahati inaweza kuchelewa, lakini faraja haikosekani ukiwa na meridianbet. Hivyo, badala ya kuingia wikendi ukiwa na huzuni ya kupoteza, sasa unaweza kuingia na matumaini mapya, ukiwa unajua kwamba Jumamosi yako ina kitu kizuri.
