Mamilioni Yanakusubiri Ndani ya Meridianbet Leo

WAKALI wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa huku timu zingine zikienda kwenye mapumziko ya Kimataifa, kuna ligi nyingine za pesa zitaendelea huku wewe ukiwa na nafasi ya kupiga pesa.
BRAZIL SERIE A, itaendelea kwa mechi kibao ambapo Flamengo watacheza dhidi ya Santos FC ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 42. Mara ya mwisho kukutana,mwenyeji alipasuka akiwa ugenini hivyo leo anataka kulipa kisasi. Je nani unampa pesa yako akupe ushindi?. Bashiri hapa.
Kwa upande wa Gremio wao watakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Fortaleza ambao mechi iliyopita wametoka sare, wageni wao walipoteza mechi yao. Pointi 3 ni muhimu kwa timu zote mbili, lakini Meridianbet wanasema kuwa mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Ingia na jisajili sasa.
Na hapo baadae Mirassol watawakaribisha vinara wa ligi Palmeiras ambao wanahitaji ushindi kuendelea kukaa kileleni kwenye msimamo wa ligi. Takwimu zinasema kuwa mara ya mwisho kukutana hawa wawili, walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuibuka na ushindi mnono?. Tandika jamvi hapa.
Cheza michezo ya kasino leo upige pesa kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Ligi kuu ya Japan, J. League itaendelea kwa mchezo mmoja ambapo FC Osaka ataumana vikali dhidi ya Nagano Parceiro huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 4 na mgeni wake nafasi ya 17 kwenye msimamo wa ligi. Ushindi mnono upo kwenye mechi hii hivyo suka jamvi lako hapa.
Kule Mexico, LIGA MX APERTURA pia itaendelea kwa mechi moja ya pesa kati ya Santos vs Pachuca ambao wana pointi zao 22 kwenye mechi zao 16 ambazo wamecheza. Mwenyeji yeye ana pointi zake 17. Mechi ya mwisho kukutana, mgeni aliondoka na ushindi. Je mwenyeji kulipa kisasi leo?. Jisajili hapa.