Halmashauri ya Wilaya ya Makete mkoani Njombe imejipanga kuongeza tija katika uzalishaji wa kilimo cha viazi mviringo kwa kuweka mkazo kwenye mifumo ya umwagiliaji, ili kukabiliana na changamoto ya ukame inayowakumba wakulima wengi.
Makete kuongeza tija uzalishaji wa viazi mviringo