Katika kuboresha afua na huduma bora kwa watoto wachanga, wakiwemo njiti, Taasisi ya Afya ya Mtoto Afrika (Icha) imeingia mkataba na Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) wa kusaidia kuboresha ufanisi wa utoaji huduma na uangalizi kwa watoto hao.
Taasisi ya kimataifa kusaidia huduma za watoto njiti Arusha