YANGA YAZINDUA JEZI MPYA KIMATAIFA


:::::::::

TIMU ya Yanga imezindua jezi mpya zitakazotumika katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika.

Jumamosi, Novemba 22, 2025, wawakilishi hao wa Tanzania wataanza kampeni yao ya hatua ya makundi wakiwa nyumbani, katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, wakikipiga dhidi ya FAR Rabat kutoka Morocco.

je Unaupa asilimia ngapi huu uzi mpya wa Yanga Kimataifa?