Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma limethibitisha kifo cha Mshereheshaji na Mchekeshaji maarufu, Emmanuel Mathias (MC Pilipili), mkazi wa Swaswa, aliyefariki Novemba 16, 2025 majira ya saa 9 alasiri katika Hospitali ya Ilazo.
Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) William Abel Mwamafupa ametoa taarifa hiyo leo Novemba 19, 2025 jijini Dodoma.
Related