HabariWAZIRI MKUU MWIGULU AKUTANA NA KATIBU MKUU WA TEC Admin2 months ago01 mins 28 ………………. Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba, leo Novemba 20, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam. Post navigation Previous: Fedha za haraka za kubadilisha mifumo ya kilimo – maswala ya ulimwenguNext: SIMBA KUTUMIA JEZI ILEILE KIMATAIFA