TUZO ZA WAKUU NA WATENDAJI WA MAKAMPUNI 100 BORA ZINALENGA KUVUTIA UWEKEZAJI NA KUKUZA UCHUMI WA TANZANIA

Waziri wa Kazi na Uwekezaji Zanzibar, Shariff Ali Shariff (katikati), amesema tuzo za Wakuu na Watendaji wa Makampuni 100 Bora zimelenga kuvutia Uwekezaji na kukuza uchumi wa Tanzania.

Waziri Shariff aliyasema hayo wakati akishiriki hafla ya utoaji tuzo hizo zilizofanyika Novemba 21,2025  katika ukumbi wa The Super Dome Masaki jijini Dar es salaam.