Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji, ameonya tabia ya baadhi ya askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa) kuwaomba wananchi wachangie mafuta ili waweze kufika katika maeneo yenye matukio ya uvamizi wa wanyama wakali na waharibifu.
Waziri Kijaji awanyooshea kidole askari wa Tawa