WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS NA MKURUGENZI WA GOOD NEIGHBORS


WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS NA MKURUGENZI WA GOOD NEIGHBORS


















  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,
Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (wa pili kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkazi
wa Shirika la Good Neighbors Tanzania Bi. Ilsun Jung (wa kwanza kulia) ambao wameonesha
nia ya kuwekeza nchini katika Biashara ya Kaboni. Kikao hicho kimefanyika
Dodoma, Novemba 25, 2025. Wa kwanza kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa
Rais Mhe. Dkt. Festo Dugange.
   Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Good
Neighbors Tanzania Bi. Ilsun Jung (wa kwanza kulia) akizungumza na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati)
akielezea lengo la kuwekeza nchini katika Biashara ya Kaboni. Kikao hicho
kimefanyika Dodoma, Novemba 25, 2025. Wa kwanza kushoto ni Afisa Mradi wa
shilika hilo Bw. Tenzi Rugambwa.