TIMU YA VODACOM TANZANIA YAWAKUMBUKA WATEJA WAO MSIMU WA SIKUKUU KANDA YA ZIWA

Timu ya Vodacom Tanzania Plc  kanda ya Ziwa, wakijiandaa kugawa kapu la Vodacom kwa wateja na wakazi wa Mwanza kwenye viwanja vya soko la samaki kirumba. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki  kama ishara ya kuendelea kusherehekea msimu huu wa sikukuu pamoja na wateja wao jijini Mwanza.