VODACOM NJOMBE YAKABIDHI KAPU LA SIKUKUU KWA MTEJA WAKE

 Meneja Mauzo wa Vodacom Njombe Malika Malika (kulia), akikabidhi kapu la sikukuu kwa mmoja wa wateja wao Dickson Mhapu (katikati), katika muendelezo wa kampeni ya “Tupo Nawe Tena na Tena” inayolenga kugawa makapu kwa wateja katika msimu huu wa sikukuu.

 Tukio hilo lilishuhudiwa na Msimamizi wa Mauzo wa Vodacom eneo la Ilembula, Anania Kiwanga (kushoto). Kampeni hiyo imeendelea kutembea mikoa mbalimbali hapa nchini.

 Hafla hii limeandaliwa kwa lengo la kusherehekea pamoja na wateja, sambamba na kuhitimisha maadhimisho ya miaka 25 ya Vodacom ya utendaji kazi nchini, na limefanyika mjini Njombe mwishoni mwa wiki.