Kampuni nambari moja ya ubashiri nchini Tanzania, KingBet yaja na promosheni kabambe katika msimu huu wa sikukuu za Christmas na Mwaka mpya. Promosheni inayokwenda kwa jina la Butua na AFCON ambapo imelenga hasa kutoa zawadi kwa wateja wake wote watakaobashiri kipindi chote cha sikukuu.
Promosheni hii imeanza rasmi tarehe 21/12/2025 na inatarajiwa kuisha rasmi tarehe 18/01/2026 baada ya mashindano ya AFCON kuisha. Kupitia promosheni hii washiriki watapata nafasi ya kushinda Smartphones, Routers, Pesa Taslim, iPhone 17 na zawadi kubwa PIKIPIKI mpyaaaa aina ya BOXER.
Kuingia kwenye droo ya ushindi ni rahisi sana, mshiriki atapaswa kutumia mtandao wa Airtel Money kuweka pesa kwenye akaunti yake ya Kingbet, kisha kwenye bashiri yake ahakikishe ana bashiri michezo ya soka na walau aweke mechi moja ya AFCON itakayochezwa kwenye wiki husika anayotamani kushinda zawadi.
Droo itachezeshwa kila baada ya siku saba na washindi kutangazwa kila wiki, washindi watapokea zawadi zao mara baada ya kutangazwa. Tembelea tovuti ya www.kingbet.co.tz kucheza na kushinda sasa.