ADEM NA SLADS KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIELIMU


Dkt. Maulid Maulid Mtendaji Mkuu wa ADEM (wa pili kulia) na Bi. Bertha Mwaihojo (wa kwanza kulia) wakionesha Mkataba wa makubaliano ya kufanya kazi pamoja mbele ya Vyombo vya habari, katika Ukumbi wa Mikutano, hoteli ya Stella Maris. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TLSB na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha SLADS Dkt. Mboni Ruzegea, wa pili kushoto ni Mgeni Rasmi wa Mahafali ya 31 ya SLADS Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Shaibu Ndemanga wakishuhudia tukio hilo