Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa nyumbani kwake Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi.
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amekutana naye wakati akiwa katika ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Lindi.
Habari za Kitaifa


