HabariWaziri Mkuu Akagua Soko Na Kituo Cha Mabasi Bunju B – Video Admin3 hours ago01 mins 4 Last updated Dec 30, 2025 Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa soko la Bunju B, Jijini Dar es Salaam, alipofanya ziara na kukagua maendeleo ya ujenzi wa soko hilo pamoja na ujenzi wa Kituo cha Mabasi, Desemba 29, 2025. Â Related Post navigation Previous: Mwanengo mali ya Yanga, aanza tizi la MapinduziNext: Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Disemba 30, 2025