………..
Na Sixmund Begashe, Mikumi
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, akiwa ameongozana na Naibu Katibu Mkuu anayeshughulika na Utalii, Bw. Nkoba Mabula amewasili Hifadhi ya Taifa Mikumi, tayari kwa kuongoza watalii wa ndani zaidi ya 100 kutalii katika hifadhi hiyo yenye vivutio lukuki, kama sehemu ya kusherekea kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026.



