MSIMU wa likizo huja na hadithi zake, na kwa Sweet Holiday Chase, hadithi inaanza kwenye wazo la mwendelezo wa fursa badala ya kusubiri bahati ya mwisho. Hii ni kampeni inayochora taswira ya safari yenye msisimko, ambapo kila hatua ndogo inaweza kuwa mwanzo wa tukio kubwa katika burudani za msimu wa sikukuu.
Kupitia Sweet Holiday Chase, kila mchezaji ana nafasi ya kujinyakulia hadi mara 500 ya dau lake bila kujali kiwango anachoweka. Zaidi ya hapo, zawadi 125,000 hutolewa kila wiki, na kinachofurahisha zaidi ni kwamba kila mzunguko unaoucheza unaweza kukuletea ushindi. Ukiwa Meridianbet, kila mzunguko ni fursa mpya ya kushinda.
Utajiri wako upo kwenye michezo ya Kasino siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Kushiriki ni rahisi mno. Unachotakiwa kufanya ni kucheza mizunguko yako kwa kutumia pesa halisi kwenye mchezo wowote uliopo kwenye promosheni. Hakuna kiwango maalum cha dau, beti yoyote inakuhesabu kama mshiriki. Baada ya hapo, unachotakiwa ni kuendelea kufurahia michezo, mfumo hufanya mengine.
Kuhusu namna ya kushinda, Meridianbet imetengeneza mfumo wa kipekee ambapo zawadi hutolewa kwenye mzunguko wowote unaoucheza. Kumbuka, kila mzunguko uliokidhi vigezo unaweza kukupatia zawadi moja kwa wakati.
Katika Sweet Holiday Chase, kadri unavyocheza ndivyo unavyoongeza nafasi ya kukutana na zawadi hizi tamu za msimu. Huu ndio wakati wako wa kugeuza msimu huu kuwa wa kuburudisha zaidi kupitia Meridianbet.