DKT.NCHIMBI AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU WA SMZ MHE.KARUME

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume katika makazi yake Unguja, Zanzibar leo tarehe 03 Januari 2026.