VODACOM TANZANIA YAFUNGUA DUKA JIPYA DODOMA IKILENGA KUSOGEZA HUDUMA KARIBU KWA WATEJA

Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC  Philip Besiimire ( wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa duka jipya la Vodacom jijini Dodoma, ikiwa na lengo la  kusogeza huduma za kampuni hiyo karibu na wateja wa jiji hilo. Tukio hilo lilishuhudiwa na Mkuu wa kanda ya kati, Chiha Nchimbi (wa pili kulia) pamoja na Mdau wa Vodacom Emmanuel Makaki ( Kushoto) jana jijini Dodoma.