Mtoto Nilsa, ambaye alikuwa akiishi na changamoto ya kiafya tangu kuzaliwa, amefariki dunia leo, Januari 18, 2026.
Kifo cha Nilsa kimethibitishwa na baba yake mzazi, Saimon Braison, kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, ambapo ameandika ujumbe mzito wa hisia uliojaa majonzi na uchungu wa kumpoteza mwanae mpendwa.
Related