Mkurugenzi mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Waryoba Butiku amezungumza na waandishi wa habari Leo Januari 19,2026 Jijini Dar es saalam kuhusiana na masuala mbalimbali yanayoendelea nchini ikiwemo la vurugu siku ya uchaguzi, utekaji na mauaji ya Mzee Kibao na kupotea kwa Polepole.
Related