Waziri Mkuu Afanya Mazungumzo na Waziri wa Nchi Muungano na Mazingira Dodoma



Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 20,2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamadi Masauni, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.

Viongozi wengine walioshiriki katika mazungumzo hauo ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Dkt. Festo Dugange na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Dkt. Richard Muyungi.