Nafasi ya Kuondoka na Mkwanja Ipo Meridianbet Leo

LEO ndio leo asemaye kesho muongo, hii ni kauli ya waswahili ambayo ina maana kuwa jambo ambalo linawezekana leo lifanyike leo na Meridianbet inakwambia kuwa suka jamvi lako la ushindi mechi za EUROPA ujiweke kwenye nafasi ya Mamilionea.
Piga pesa mechi ya Bologna vs Celtic ambapo toauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 4 pekee. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo iweze kusogea mbele kwenye msimamo wa Europa. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA. Ingia kwenye akaunti yako n ubashiri hapa.
Naye Aston Villa atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Fenerbahce ambao wapo nafasi ya 12 huku wageni wao wakiwa nafasi ya 3. Vijana wa Unai wanahitaji ushindi kuendelea kukaa kileleni huku wenyeji nao wanahitaji kupata ushindi wakiwa nyumbani. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Jisajili sasa.
Feyenoord nao watakuwa kibaruani dhidi ya Sturm Graz ambapo timu hizi zilikutana mara ya mwisho 2022 kwenye hatua ya makundi ambapo kila mtu alishinda mechi ya nyumbani kwake. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 1 pekee huku wote wakiwa na hali mbaya kwani wapo chini kwenye msimamo wa Europa. Suka jamvi hapa.
Tengeneza pesa kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kwa upande wa Freiburg kutoka kule Ujerumani wao watakuwa nyumbani dhidi ya Maccabi Tel Aviv ambao mpaka sasa hawajashinda mechi yoyote kati ya 6 walizocheza wakiambualia sare pekee. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 5 akishinda mechi 4 hadi sasa. Je nani kuondoka na ushindi?. Tengeneza jamvi hapa.
Pia Real Betis yeye atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya PAOK FC ambao wameshinda mechi 2 pekee huku wao wakishinda mechi 4 pekee hadi sasa. Tofauti ya pointi kati yao ni 5 hadi sasa, lakini Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA. Jisajili hapa.
Viktoria Plzen atakuwa uso kwa uso dhidi ya FC Porto kutoka kule Ureno ambao mpaka sasa kwenye mechi 6 walizocheza wameshinda 4 huku wenyeji wao wakishinda mechi zao 2. Kila timu inahitaji ushindi kwenye mechi hii siku ya leo yuku machaguo zaidi ya 1000 yakiwa kwenye mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.
AS Roma watakuwa kibaruani dhidi ya VFB Stuttgart ya kule Ujerumani ambao wapo nafasi ya 9 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 10. Timu zote zina pointi 12 kwenye msimamo wa Europa huku Meridianbet wakiipa mechi hii ODDS KUBWA. Tandika jamvi hapa.
Vilevile Celta Vigo atakipiga dhidi ya Lille kutoka kule Ufaransa ambao kwenye mechi 6 walizocheza hadi sasa wamepata pointi 9 halikadhalika kwa mwenyeji naye ana pointi 9. Kila timu inahitaji ushindi leo ili iweze kusonga mbele kwenye nafasi ya juu kabisa. Je nani unampa nafasi ya kushinda leo?. Bashiri hapa.