Haya Hapa Matokeo ya Form 4 – 2025



Dar es Salaam, Januari 31, 2026 — Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika mwaka 2025 kote nchini. Akizungumza katika ofisi za baraza hilo jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said A. Mohamed, amesema kuwa ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 2.61 na kufikia asilimia 94.98.

Profesa Mohamed ameongeza kuwa jumla ya watahiniwa 526,000 wamepata daraja la I, II na III, hali inayoonesha ongezeko la ufaulu ikilinganishwa na matokeo ya mtihani wa mwaka 2024.

BONYEZA HAPA KUPATA MATOKEO BONYEZA HAPA KUPATA MATOKEO FORM 4