Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwaapisha viongozi mbalimbali walioteuliwa kushika nafasi tofauti serikalini katika hafla rasmi itakayofanyika Ikulu.
Viongozi hao wanajumuisha waliopata uteuzi katika nafasi za Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi za Umma, Wakurugenzi pamoja na watendaji wa ngazi mbalimbali za Serikali, hatua inayolenga kuimarisha utendaji na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi.

Related
