Tanzania imepiga hatua kubwa katika kupunguza vifo vya kina mama na mtoto katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, lakini nyuma ya mafanikio hayo bado kuna changamoto mbalimbali ikiwemo ya uhaba wa madaktari bingwa wa magonjwa ya watoto na afya ya mtoto.
Aga Khan yapambana na ombwe la madaktari bingwa wa watoto nchini