Arsenal Wapoteza Pointi Muhimu, Mbio za Ubingwa Zazidi Kunoga! – Global Publishers



Arsenal wameendelea kupoteza mwelekeo katika mbio za ubingwa baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Wolverhampton Wanderers kwenye dimba la Molineux Stadium.

Arsenal walionekana kuwa na udhibiti wa mchezo mapema, lakini makosa ya safu ya ulinzi yaliwapa Wolves nafasi ya kusawazisha na hata kutishia ushindi dakika za lala salama.

Wafungaji:

  • 05’ Bukayo Saka (Arsenal)

  • 56’ Piero Hincapie (Wolves)

  • 61’ Hugo Bueno (Wolves)

  • 90+4’ Riccardo Calafiori (Arsenal, og)

Kwa matokeo hayo, Arsenal wamefikisha alama 58 baada ya mechi 27, wakisalia kileleni lakini sasa wakiwa alama tano mbele ya Manchester City ambao wana mchezo mmoja mkononi — hali inayoongeza presha katika mbio za ubingwa.

MATOKEO: USIKU WA ULAYA
Bodø/Glimt 🇳🇴 3-1 🇮🇹 Inter
Club Brugge 🇧🇪 3-3 🇪🇸 Atlético Madrid
Olympiacos 🇬🇷 0-2 🇩🇪 Bayer Leverkusen
Qarabag 🇦🇿 1-6 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Newcastle