Timu Sita Uingereza Zatinga Hatua ya 16 Bora Ulaya – Historia Yaandikwa!

Global Publishers
February 25, 2026
0 Comments

TIMU sita kutoka Ligi Kuu ya Uingereza vimetinga hatua ya 16 bora msimu huu kitu ambacho hakijawahi kushuhudiwa. Hii si bahati ni uthibitisho wa nguvu ya Ligi ya hiyo na barani Ulaya!

🔴 Arsenal
🔵 Manchester City
🔴 Liverpool
🔵 Chelsea
⚪ Tottenham Hotspur
⚫ Newcastle United

Sasa macho yote yapo hatua ya 16 bora nani ataendelea? nani ataanguka? na je, kombe litarudi England?