Katika tukio la kipekee kabisa kwenye kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan na Kwaresma limegusa watu wengi katika kusheherekea kwa pamoja na familia zao kwa chakula kinacho andaliwa na wataalam na wabobezi wikiendi hii ya tarehe 28 February na 1 March 2026 MBEZI BEACH RAINBOW Dar es salaam.
Lavender Catering itaandaa menu ya kifahari yenye vionjo mbalimbali ambavyo baadhi ni kama vile Fish Samosas, Bagia laini, Kalmati, Cream of Vegetable Soup na Uji moto kwa kuanzia.
Chakula kikuu kitakua na mchanganyiko wa ladha mbalimbali: Saffron Rice, Samaki Masala, Orange Chicken, Crispy Beef, Mzuzu wa Nazi na Iliiki, Chips Masala, Sweet Raisins Noodles ,Chicken Liver na kadhaliika.
Kwa kumalizia, wageni watapata Mango Mousse laini, Banana Nutella Pancakes, na matunda fresh, pamoja na vinywaji kama Karak Chai, Kahawa, Maji, na Fresh Juice.
Kwa Watu wazima watalipa TSH 30,000 kwa chakula, wakati watoto wenye umri wa miaka 4–10 watalipa TSH 18,000 tu. Mazingira ya ufukweni yakipamba kufturi kuwe kwa kukumbukwa, kwa chakula kitamu na furaha ya pamoja.
Tukio hili sio la kukosa watu wa dini zote watahudhiria na kufanya mfungo huu kwa kipekee. Kwa maelezo zaidi wasliana na Chief +255 788 500 067.