Je unajua kuwa Meridianbet ndio wakali wa Odds Tanzania?. Yaani namaanisha kuwa ukitaka Odds kubwa na za kibabe wewe njoo hapa na ubashiri leo. Lakini pia unaweza ukaibuka bingwa kwani machaguo ni mengi hapa.
Fenerbahce atamualika kwake Nottingham Forest kutoka kule Uingereza na takwimu zinaonesha kuwa hawa wawili hawajawahi kukutana hivyo hii ndio mara yao ya kwanza. Nafasi ya wewe kuondoka na mkwanja ndani ya Meridianbet ipo endapo ukibashiri mechi hii siku ya leo. Je nani kuondoka na ushindi leo?. Suka jamvi lako hapa.
Lakini pia unaweza ukabashiri mechi ya Lille vs Crvena Zvezda huku hii ni mechi ambayo itakuwa ya moto hasawa pale Ufaransa kwani timu zote zinataka kuonesha ubabe wake. Unaweza kuongeza mechi hii kwenye jamvi lako na ukabashiri kwa dau lolote unalolitaka.
Pesa ni rahisi ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Mechi nyingine ya Ligi ya Europa ni Dinamo Zagreb vs Genk kutoka kule Ubelgiji. Hii ni mechi ya hatua ya mtoano ambapo kila timnu inataka kuanza vyema ili iwezi kufuzu. Mara ya mwisho kukutana kati yao ilikuwa ni 2021 ambapo walitoa sare. Lakini siku ya leo huenda ikawa ni bahati kwako ukibashiri mechi hii. Je nani unampa nafasi ya kuondoka na ushindi?. Jisajili hapa.
Celtic atakuwa uso kwa uso dhidi ya VFB Stuttgart kutoka kule Ujerumani, huku wenyeji wao wakikipiga ligi kuu ya Scotland. Kila timu inataka ushindi kwenye mtanange huu ambao unatarajiwa kuwa wa kuvutia kwelikweli. Je nani anaweza akaondoka na ushindi mnono siku ya leo?. Beti hapa.
Naye Viktoria Plzen atakuwa ugenini dhidi ya Panathinaikos huku mechi hii ikipewa ODDS KUBWA kabisa ndani ya Meridianbet. Ushindi mnono unapataikana kwenye mechi hii siku ya leo. Suka jamvi lako na ubeti sasa.
Bologna atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Brann ambapo mechi ya mwisho kukuana kati yao walitoa suluhu. Leo hii kila timu inahitaji ushindi ili ijiweke kwenye nafasi nzuri ya kufuzu hatua inayofuata. Meridianbet wanakwambia kuwa ODDS za kibabe zipo kwenye mechi hii, hivyo ingia kwenye jamvi lako na ubashiri sasa.
Kwa upande wa Celta Vigo wao watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya PAOK FC ambapo mechi ya kwanza walipokutana mgeni aliondoka na ushindi. Leo hii mwenyeji anataka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi yao ya mwisho walipokutana. ODDS KUBWA zipo ndani ya Meridianbet. Tengeneza jamvi hapa.