Global Publishers
March 10, 2026
0 Comments
Soko la ubashiri Tanzania limepata msisimko mpya kupitia ushirikiano wa Meridianbet na Mixx by Yas. Hii si promosheni ya kawaida, bali ni kampeni iliyoundwa kumfanya kila mbashiri ahisi thamani ya dau lake. Kama ulikuwa unacheza kwa matumaini tu, sasa ni muda wa kucheza kwa nafasi halisi ya zawadi kubwa kupitia JIMIXX na Ushindi Bab Kubwa.
Kila mteja anayeshiriki anaingia moja kwa moja kwenye mfumo wa ushindi wa kila siku na kila wiki. Hii ni kampeni inayobadilisha mtazamo wa ubashiri kwa kuunganisha urahisi wa malipo ya kidigitali na burudani ya kasino mtandaoni ndani ya jukwaa moja lenye kasi na usalama.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Ukiweka dau la kuanzia Tsh 5,000 au zaidi kwenye akaunti yako ya Meridianbet kupitia Mixx by Yas, unajipatia mizunguko ya bure kwenye michezo ya kasino kutoka Expanse Studios. Hii inakupa nafasi ya kucheza zaidi bila gharama ya ziada, huku ukiwa kwenye nafasi ya kuingia kwenye droo za zawadi nono zinazotolewa kila wiki.
Zawadi ni kubwa kwelikweli kila wiki washindi wawili wanajinyakulia simu mpya Samsung A26, huku zawadi kuu zikihusisha Bajaj mpya 2, Pikipiki Boxer, na TV ya kisasa aina ya Hisense inch 55. Hizi ni zawadi zinazogusa maisha, si tu burudani ya muda mfupi.
Ushiriki ni rahisi, tumia Mixx Super App au piga *150*01#, chagua Malipo ya Bili, weka Namba ya Biashara 444999 na kiasi chako. Droo hufanyika kila Jumatano na Ijumaa. Jiunge sasa na Meridianbet, uki-JIMIXX na ushuhudie jinsi ushindi unavyoweza kuwa mkubwa zaidi.