Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aasili mtoto Grace Samia Suluhu

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mtoto Grace Samia Suluhu aliyemuasili tarehe 11 Machi, 2026 Ikulu ya Chamwino, Dodoma.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpokea mtoto Grace Samia Suluhu kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega Naitapwaki Tukai, tarehe 11 Machi, 2026 Ikulu ya Chamwino,Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea cheti cha kuzaliwa cha mtoto Grace Samia Suluhu kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega Mhe. Naitapwaki Tukai, Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 11 Machi, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mkuu wa Wilaya ya Nzega Naitapwaki Tukai, Afisa Muuguzi Msaidizi II Hospitali ya Mji Nzega Bi. Mariam Amasha Usangira, Bi Lucia Philipo Saitoti pamoja na Tatu Abdi Baraka (aliyembeba mtoto Grace Samia Suluhu), Ikulu ya Chamwino, Dodoma tarehe 11Machi, 2026.