Global Publishers
March 23, 2026
0 Comments
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inawaalika Watanzania wenye sifa, wenye ufanisi, wanaojituma, waadilifu, wenye ari na sifa stahiki kujitokeza kuomba nafasi mia moja hamsini na nane (158) za kazi zilizoainishwa hapa chini.
Shirika la Posta Tanzania (TPC), Ofisi ya Viwango Tanzania (TBS), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Watumishi Housing Investments (WHI), Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Iringa (IRUWASA), Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Njombe (NJUWASA), Kituo cha Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) na Taasisi ya Mafunzo ya Serikali za Mitaa (LGTI),
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 04 Aprili, 2026. Kusoma nafasi zote zilizotangazwa bonyeza link hapa chini
