Mikataba yamnyima staa fura ya kucheza
WAKATI wachezaji wakiwa katika maandalizi ya kuanza kwa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) 2026, nyota wa mchezo nchini, Jimmy Brown, ametaja sababu zilizomfanya asicheze michuano hiyo msimu uliopita. Mchezaji huyo aliyewahi kuchezea Kurasini Heat, ABC, UDSM Outsiders, JKT na Ukonga Kings amesema kutoshiriki kwake kulitokana na kutokubaliana na utaratibu wa malipo…