Admin

Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 – Haki kwa Wanawake na Wasichana Inahitaji Hatua na Utashi wa Kisiasa – Masuala ya Ulimwenguni

Anne Hathaway, Balozi wa Umoja wa Mataifa wa Nia Njema kwa Wanawake, akihutubia Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake ya 2026 ya Umoja wa Mataifa kuhusu mada: ‘Haki, Haki, Hatua kwa Wanawake na Wasichana WOTE.’ Credit: UN Photo/Evan Schneider na Naureen Hossain (umoja wa mataifa) Jumatatu, Machi 09, 2026 Inter Press Service UMOJA WA…

Read More

Cheza Leo, Pata Zawadi Kesho Na Win&Go Lucky Loser

MARA nyingi wabashiri wa michezo ya kasino hukutana na changamoto ya kupoteza licha ya kuchagua mchezo kwa umakini mkubwa. Lakini kupitia ubunifu wa Win&Go Lucky Loser, Meridianbet inaleta matumaini mapya kwa soko la wachezaji kwa kugeuza hasara ya leo kuwa ushindi wa kesho. Huu ni mfumo maalum unaobadilisha tiketi zisizofanikiwa kuwa fursa ya kujishindia hadi…

Read More

Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 – Upinzani Kuliko Msukosuko – Masuala ya Ulimwenguni

Credit: Marco Longari/AFP Maoni na Inés M. Pousadela (montevideo, urugwai) Jumatatu, Machi 09, 2026 Inter Press Service MONTEVIDEO, Uruguay, Machi 9 (IPS) – Fikiria jinsi Siku ya Kimataifa ya Wanawake ilivyokuwa miaka michache iliyopita, na jinsi inavyoonekana sasa: tarehe hiyo hiyo, wakati uleule wa kimataifa wa kutafakari, lakini mandhari ya kimataifa iliyobadilika sana. Haki za…

Read More

WANAWAKE WA TRA MOROGORO WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Na FARIDA MANGUBE, MOROGORO Wanawake wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Morogoro wameungana na wanawake wengine kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani inayoadhimishwa kila ifikapo Machi 8 kila mwaka huku wakisisitiza umuhimu wa wanawake kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya jamii na taifa. Kwa Mkoa wa Morogoro maadhimisho hayo yamefanyika katika viwanja vya Shule ya…

Read More

Simba, Yanga zarudishwa tena Zanzibar, kukichafua Aprili 21

ZIKIWA zimepita siku chache baada ya Yanga na Simba kutoka kucheza mechi ya Ligi Kuu Bara iliyomalizika bila kufungana kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, timu hizo zimetajwa kati ya nane zinazotarajiwa kushiriki michuano ya Kombe la Muungano 2026. Kwa kutajwa huko, timu hizo zinatarajiwa kurejea tena Zanzibar kusaka heshima baada ya kushindwa kutambiana…

Read More